TANGAZO

Wednesday, 12 August 2015

DP.Mchungaji Christopher Mtikila aongea na watanzania

Posted by   on

Mwenyekiti wa chama cha Democrasia DP.Mchungaji Christopher Mtikila amesema Watanzania wakumbuke wosia wa Mwasisi wa ukombozi wa Tanganyika Mwalimu Julius Kambarage Nyerere


 Mwenyekiti wa chama cha Democrasia DP.Mchungaji Christopher Mtikila amesema Watanzania wakumbuke wosia wa Mwasisi wa ukombozi wa Tanganyika Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ,kupinga viongozi wasiokuwa wadilifu wanaotumia mali na fedha kuingia ikulu..

Mtikila amewataka Watanzania kushirikiana pamoja kutowachagua viongozi wasio kuwa wadilifu
Mchungaji christopher Mtikila anaendelea na nia yake kutaka kuwafikisha mahakamani wagombea hao wawili, anao watuhumu kwa tuhuma mbalimbali,ili vyama vyao vitafute wagombea wenginewalio kuwa wadilifu ndani na nje ya vyama vyao

No comments:
Write comments

Hey, we've just launched a new custom color Blogger template. You'll like it - https://t.co/quGl87I2PZ
Join Our Newsletter