TANGAZO

Monday, 25 May 2015

Mapokezi ya Chama cha ADC TANGA.

Posted by   on



Wananchi wameonekana kukubali mabadiriko na demokrasia ndani ya Tanzania kwa kuonyesha Moyo wa kukipokea Chama hicho kwa shangwe na furaha kubwa mkoani Tanga.Wananchi hao wamedai wamechoshwa na hali Duni za maisha richa ya kuwa na vitega uchumi vingi kama madini.

Pia wamelalamikia uhaba wa maji na ukosefu wa Barabara bora,Elimu inayotolewa kwa kiwango kisicho cha kuridhisha ambapo wako tayari kuwachagua viongozi ambao wataleta mabadiriko hususani wa ADC (alliance democratic for change).

Mwenyekiti wa Vijana ADC taifa Mr.Mkomwa Husseni ametoa rai kwa vijana kutumia fursa vizuri kwa kujitokeza katika uchaguzi na kuwachagua viongozi bora wa ADC ili kuleta maendeleo Tanzania.














Pia amelaani tatizo la umasikini wa kipato kwa vijana na kusaulika kutokana nu uroho wa madaraka kwa baadhi ya viongozi na kuhaidi mabadiriko pindi watakapo pata ridhaa ya kutawala.
Kwa kuonyesha hali ya mabadiriko Naibu Katibu mkuu Bara Ndugu Doyo Hassan Doyo ametangaza kugombea ubunge jimbo la Handeni baada ya kuguswa na kero hizo za handeni.
   
Bara Ndugu Doyo Hassan Doyo

No comments:
Write comments

Hey, we've just launched a new custom color Blogger template. You'll like it - https://t.co/quGl87I2PZ
Join Our Newsletter