TANGAZO

Thursday 4 August 2016

Jumba kubwa la kifahali linauzwa.

Ipo barabarani sehemu nzuri sana na Nyumba ambayo kubwa ya kifahali ina geti na sehemu ya kupaki magari,Jiko la kisasa,sehemu ya mtoto kucheza,vyumba vingi na AC(air condition).Bei ni shilingi milioni 300 kwa maelezo na makubaliano zaidi ya bei piga 0717389255.

Nyumba nzuri na ina uwanja mkubwa inauzwa.

Nyumba inauzwa milioni 80 ina uwanja mkubwa na ipo mahali pazuri barabarani.Kwa maelezo na maelewano zaidi ya bei piga namba 0717389255.

Nyumba Inauzwa wahi mapema

kuna nyumba ina vyumba 3 vya kulala, sebule 2, sehemu ya kupikia ndan, choo cha ndan bei ni milion 62. Ipo maeneo ya kimara temboni.kwa mawasilia na punguzo la bei wasiliana na 0717389255.

NYUMBA INAUZWA.

Nyumba nzuri inauzwa ipo barabarani kabisa ni mahali pazuri palipo jengeka na Nyumba yenyewe ina eneo kubwa.Inauzwa milioni 73.kwa kuiona na maelezo zaidi piga 0717389255.

Kiwanja kiwanja kinauzwa

Kiwanja kinauzwa, Kilomita za Square 590, Kigamboni Kidaba, barabarani. Bei Shilingi 47 milioni, mazungumzo yanaruhusiwa. Kina hati ya Serikali ya miaka 90. Mawasiliano. 0717389255 kuona au maelewano zaidi.

Nunua nyumba kwa bei nafuu

Nyumba inauzwa ipo sehemu nzuri na ina mazingira mazuri kwa bei ya shilingi milioni 200 punguzo au masasiliano piga 0717389255

Nyumba inauzwa

Nyumba iliyopo maeneo ya sigara polisi post inauzwa kwa bei nafuu sana ya shilingi milioni 95 na punguzo la bei linawezekana.kwa mawasiliano piga 0717389255

Hey, we've just launched a new custom color Blogger template. You'll like it - https://t.co/quGl87I2PZ
Join Our Newsletter